TUNAKUSIKILIZA, TUNAKUSHAURI, TUNAKUFANYIA
ZAIDI YA MATARAJIO! BEI RAFIKI, TUNAKABIDHI
PROJECT YAKO ONTIME!
Tunasanifu na kufunga mifumo ya TV ya kisasa kwa hoteli na apartment, ili wateja wako wafurahie chaneli nyingi kwa ubora wa juu.
2. SATELLITE DISH INSTALLATION
Huduma ya kufunga na kuset satellite dish kwa mapokezi bora ya chaneli za ndani na nje ya nchi.
3. TV REPAIRS
Tunatengeneza na kurekebisha matatizo yote ya TV – iwe picha, sauti au mfumo wa ndani.
Tunafunga kamera za usalama zenye ubora wa juu kwa ulinzi wa Viwanda, Majengo, Nyumba, ofisi au biashara.
Ufungaji wa uzio wa umeme kwa ajili ya usalama wa eneo lako.
Tunasanifu na kufunga mashine ya kielektroniki na kufanya geti lifunge/lifunguke kwa remote au sensor kwa urahisi na usalama.
Huduma ya kufunga intercom doorbell za kisasa ili kurahisisha mawasiliano ya ndani ya jengo, nyumba au ofisi.
8. SMART LOCKS
Funga milango yako kwa vitufe vya siri, kadi au alama za vidole – hakuna tena kuteseka na funguo.
9. ALARM SYSTEM
Ufungaji wa alarm za usalama zinazokulinda dhidi ya wizi au tukio lolote la hatari.
Tunatoa huduma ya GPS tracking kwa magari na vifaa vingine ili kufuatilia kwa usahihi popote vilipo.
11. BIOMETRIC ACCESS CONTROL
Huduma ya mfumo wa kufungua milango kwa kutumia alama ya kidole, kadi au uso kwa usalama zaidi.
12. TELEPHONE
Ufungaji na usimamizi wa mifumo ya simu kwa ofisi au taasisi kwa mawasiliano rahisi.
13. NETWORKING
Tunaunda na kufunga mitandao ya kompyuta (LAN/Wi-Fi) kwa makazi na biashara.
14. IT SOLUTIONS
Tunatoa suluhisho mbalimbali za kiteknolojia kwa biashara au mtu binafsi kulingana na mahitaji.
Ufungaji na matengenezo ya air conditioner kwa ubaridi na faraja ndani ya jengo, nyumba au ofisi.
Huduma za umeme wa nyumbani – wiring, ufungaji taa, soketi na vifaa vya umeme.
17. SUBMETER INSTALLATION
Kudhibiti na kuondoa msuguano kwenye matumizi/ununuzi wa umeme hususani kwenye majengo ya biashara/nyumba za kupanga.
HUDUMA ZOTE TUNAZITOA KWA MIKOA YOTE TANZANIA!
KWENYE MIRADI YOTE - WATU BINAFSI NA SERIKALI!
0 Comments