Kuna makosa mengi kwenye kufunga tv ukutani tukiwa Morogoro tumekutana na makosa haya!
• Kuacha miguu ya TV kutokuifunga ilihali tv inafungwa ukutani - kazi ya miguu hii ni kama tv inakaa chini ( meaning.k. )
• Kutokuubana waya na kuacha unaning'inia
Kinachotakiwa kifanyike na kama tulichofanya Mustapha Madish Installers
> Tumefungua miguu ya TV
> Tumeuficha waya kwa kuchimbia Conduit pipe! Ingawaje ungeweza kuuficha hata kwa trunk lakini kwa tulivyofanya ni bora zaidi!
Hapa ni Morogoro lakini huduma hii tunaifanya mikoa yote Tanzania
WhatsApp/Tupigie sasa kwa ushauri/kazi
Mustapha madish installers Morogoro +255777139413
Mustapha madish installers D'salaam +255755949413
0 Comments